Jinsi ya kupambana na wadudu
Nyanya
  • Tumia aina inayostahimili magojwa, kama inapatikana
  • Jitahidi kuandaa udongo vizuri na kufuatilia pH ya udongo
  • Hakikisha udongo una unyevu mzuri na jihadhari na kutuamisha maji
  • Tumia mbegu na miche zisizo/isyo na vimelea vya magonjwa (zilizothibitishwa)
  • Tumia nafasi sahihi kwa hewa na mwanga wa kutosha
  • Tumia mbolea na viuatilifu kwa usahihi
  • Jihadhari kupunguza majani kupita kiasi
  • Safisha vifaa kwa jiki
  • Ili kuzuia magonjwa kuenea, mimea iliyoathirika, mazao yaliyozeeka na magugu yanapaswa kuondolewa  
  • Mzunguko wa mazao familia tofauti huzuia kuzaliana kwa wadudu sumbufu na magonjwa na hurejesha rutuba ya udongo 
Manage Disease
Dhibiti wadudu wa kusambaza magonjwa kwa kutumia mitego, matandazo ya karatasi au kunyunyiza viuatilifu wadudu
Kiatilifu Kundi la kiutendaji* wadudu mafuta vipepeo weupe
Lambda-cyhalothrin 3A
Dinotefuran 4A
Imidachloprid 4A
Thiamethoxam 4A
Thiocyclam oxalate 14
Lufenuron 15
Indoxacarb 22A
*Badilii makundi ya viuatilifu ili kuzuia uwezekano wa kujenga usugu
tab-icon
Growth cracks
tab-icon
Kuoza kitako
tab-icon
Kiwango cha sumu katika kemikali
tab-icon
Hali ya hewa ya baridi na unyevu mwingi
tab-icon
Majani kuwa ya njano
tab-icon
Mnyauko bakteria
tab-icon
Majani kuwa zambarau
tab-icon
Mosaic ya tango
tab-icon
Mosaic ya nyanya
tab-icon
Root Knot
tab-icon
Gray Leaf Spot
tab-icon
Black Leaf Molds
tab-icon
Ubwiri unga
tab-icon
Sclerotium Blight
tab-icon
Phoma Leaf Spot
tab-icon
Early Blight
tab-icon
Kuoza moyo wa shina
tab-icon
Madoajani/bakteria