Become a better farmer

Yahusu

Tovuti ya GrowHow inakupa miongozo iliyothibitishwa na taarifa unazohitaji ili kuwa mkulima bora na mwenye faida zaidi. GrowHow imetengenezwa na inaongozwa na misingi ya kitengo cha mafunzo kwa wakulima cha East West Seed (EWS KT)
Miongozo ya mazao
Miongozo ya bure na rahisi kutumia juu ya namna ya kuzalisha mazao ya aina tofauti. Ukifungua miongozo utapata taarifa muhimu kuhusu upandaji sahihi kwa kuzingatia umbali wa mmea na mmea, matumizi sahihi na salama ya mbolea, na udhibiti sahihi wa wadudu na magonjwa sumbufu ya mimea. Anza sasa kuboresha mazao yako kwa mavuno bora.
Miongozo ya mazao
Miongozo ya kiufundi
Miongozo ya kiufundi
Miongozo ya kiufundi
Miongozo ya kiufundi